Grade 3
Grade 3: Kiswahili
KShs300.00
+ Free ShippingFurahisha watoto na kuimarisha ujuzi wa Kiswahili kupitia Kitabu Shirikishi cha Kiswahili cha Gredi Ya 3, kinachozingatia Mtaala wa Umilisi (CBC). Kitabu hiki kinajumuisha mazoezi ya sarufi, usomaji, uandishi, na mazungumzo ili kuwasaidia watoto kukuza ufanisi wa lugha kwa njia ya burudani.
Usajili: KSh 300 kwa mwaka!