Grade 7
Gredi Ya 7: Kiswahili
KShs300.00
+ Free ShippingBoresha ujuzi wa lugha na mawasiliano kupitia Kitabu Shirikishi cha Kiswahili cha Gredi Ya 7, kinacholingana na Mtaala wa Umilisi (CBC). Kitabu hiki kinajumuisha mazoezi ya sarufi, ufahamu wa kusoma, uandishi bunifu, na mazungumzo ili kukuza uwezo wa lugha na fikira za kina.
Usajili: KSh 300 kwa mwaka!